Sulwe (Kiswahili)

KSh500

Donor: Bunk Books

Number of Winners: 1

Lupita Nyongo, mwigizaji na mshindi wa tuzo ya Academy, ametuandikia kitabu cha picha chenye mvuto na ushawishi mkubwa kuhusu rangi, kujithamini, na kujifundisha ya kwamba urembo wa kweli unatoka ndani mwa mtu.

Sulwe ni mweusi  tititi. Ni mweusi kuliko kila mtu katika familia yake.  Ni mweusi kuliko kila mtu shuleni. Sulwe anataka tu kuwa mrembo na mwerevu, kama mamake na dadake.  Ghafla, safari ya kipekee katika anga ya usiku inamfumbua macho na kila kitu kinabadilika. Katika kitabu hiki chenye michoro ya Vashti Harrison, mwigizaji Lupita Nyong’o amefinyanga  hadithi ya kusisimua na kuwahamaisha watoto ili wafurahie urembo wao wa kipekee.

Category: